Ibada ya Kwanza
1:00 asubuhi
Saa moja kamili · 7:00 AM
Karibuni nyote nyumbani mwa Bwana Mungu wetu ili tumwabudu katika Roho na kweli.
Kwa washarika wote, kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa
Kila wiki, kwa watu wote
Karibuni nyote kwenye vipindi hivi. Tuzingatie pia kushiriki fellowship za nyumba kwa nyumba kwenye maeneo tunayoishi, kwa utaratibu unaokubalika Usharikani.